Suluhisho Asili la Harufu Mbaya
Mdomoni na Maumivu ya Meno – Dawa
ya Meno yenye Aloe Vera & Propolis”
Je, unateseka na harufu mbaya mdomoni au maumivu ya meno yanayokukosesha
raha kila siku? Sasa kuna suluhisho la kiasili linalokuletea pumzi safi, meno imara na
tabasamu la kujiamini
Kama
● unatamani kuwa na ujasiri anapoongea na watu (kazi, mikutano, au uhusiano wa
kimapenzi).
kutoogopa kukaribia watu, kubadilishana mawazo au kupiga busu bila
wasiwasi.
kuonekana msafi na mwenye mvuto mbele ya marafiki, familia na
jamii. kupumua kwa urahisi bila hisia za aibu.
kuishi bila maumivu kila siku.
kula chakula chochote bila hofu ya kuumizwa na jino.
kuepuka gharama kubwa za kutibiwa meno hospitalini.
kuondokana na hofu ya kupoteza meno mapema.
kufurahia mswaki safi bila kuona damu kila mara na kuhisi afya bora ya kinywa na pumzi safi
Basi unahitaji kusoma ujumbe huu mwazo mwisho kwasababu….
Naitwa mr Hamis.
Ni ukweli uliowazi kwamba kila mtu( mwanamke au
mwanaume) anajivunia kuongea na kunong'ona na mpenzi/mke au hatarafiki
zake bila kuhisu aibu ya kutoa harufu mbaya mdomoni
Nikiwa kama mhanga wa tatizo hili lilinitesa sana natambua hata wewe
linavyokutesa na hali unayopitia ukiwa unaongea na watu karibu nakuona mtu
akikatiza maongezi na kusogea pembeni na mda mwingine kusingizia kitu flani
ilimradi aondoke karibu na wewe kwani kinywa chako kinatoa harufu mbaya japo
mwingine hawezi kukwambia
Lakini Lakini mwisho wa changamoto yako umefika na ndani ya dakika 3
zijazo utaona ni kwa jinsi gani changamoto yako inaenda kutatuliwa.
ni hii hapa:
Mwaka 1945 huko marekan kulikuwa na mwaume mmoja imeandikwa kuwa
mwanaume huyo aliishi kwa mda mrefu sana alipofika miaka 75 alikuwa....
amezeeka kidogo lakini cha kushagaza hakuwahi kung'oa jino hata moja meno
yake yalikuwa vizuri kabisa mzee huyo alieishi miaka mingi nchini hapo...
alikuwa akisukutua meno kwa kutumia vipande vya mti na mmea wa alovera
(mshubili)akichanganya na propolis ya nyuki..
Siku moja alitembelewa na wanasayansi wa chuo cha afya kinywa na meno
wakitaka kujua niniilikuwa sili ya mzee huo kutunza kinywa chake kwa mda
mrefu
Baada ya utafiti wa mda mrefu madakitari waligundua siri moja kubwa sana
ambayo wengi hawakuwahi kujua kabla
Madakitari waligundua siri hii ya mzee alieishi miaka mingi bila tatizo la meno..
Tafiti zinaonyesha kwamba mchanganyiko huo wa mshubili [alovera] na
propolis ya nyuki inafaida kubwa katika kutibu changamoto ya harufu mbaya....
na meno kwa ujumla. Ndio maana mzee alikuwa akiutumia maisha yake yote
kutokana na maajabu ya mchanganyiko huo...
Kwahiyo mzee huyu aliweza kuwa na afya bora ya kinywa kwasababu propolis
ya nyuki [bee propolis] ilikuwa nauwezo wakulinda meno yake yasiweze..
kuharibiwa na kutoa harufu mbaya kwa kuua bacteria wabaya harmful bacteria...
na kuruhusu bacteria wazuri ambao hawa ndio wanalinda kinywa
Siyo hivyo tu
Watafiti walijiuliza nikwanini wengine wanatumia dawa za meno lakini
wengine wanatoa harufu mbaya na wengine meno yanaoza licha kupiga
mswaki kila siku
Ndipo wakaendelea kufanya utafiti wa mchanganyiko huo kwanini wengine wanapiga mswaki lakini bado wanapata shida ya meno na harufu mbaya nawalishangazwa na majibu hayo...
Majibu ya mchanganyiko huo yalikuwa haya hapa..
Ndipo wakafa upembuzi wa mchanganyiko huo na waliopita unakitu hivi
water,vitamini (A,C,E&B), madini 6 kama
kalisiamu,maginisiamu,manganese,zink,koppa,seleniamu kwa ajili ya kuimarisha
meno na kuwa magumu , enzyme kama amylase lipase anda bradykinase saponin
na vitu vingine vingi
Tafiti zinaonyesha ndani ya mchanganyiko huu kuna kitu kinaitwa enzymes...
Enzyme hizi unazijuwa na matumizi yake usijali utajuwa ila kwa sasa ngoja
nikwambie kitu kinachosababisha kutoa harufu mbaya kinywani meno kuharibika
mara kwa mara
Iko hivi kwa mtu ambaye hana changamoto ya kinywa anapokula chakula mabaki ya.....
chakula hubaki kinywani mtu huyu baada ya mabaki kubaki kinywani huvamiwa na......
bacteria na kuanza kuliwa kwa ajili ya kusasiteini maisha yao
Kwahiyo wanavyo Meng'enya mabaki hayo huzalisha chumvi chumvi za sulpha
,ambazo hutoa harufu mbaya.
kwa hiyo mtu huyu kama hanamajeraha au vidonda mdomoni akisafisha meno kwa
kutumia dawa ya meno huua vijidudu na kutoa uchafu kitu ambacho huwezi kusikia harufu mbaya
Kwahiyo nikwanini inakuwa ni rahisi wewe kupata harufu mbaya au maumivu
makali hizi hapa sababu
Hizi hapa ni sababu zinazopelekea update harufu mbaya mdomoni na maumivu ya meno
Sababu za Harufu Mbaya ya Mdomo
Mdomo kukauka – ukosefu wa mate hufanya bakteri kuzaliana haraka.
Uchafu wa kinywa – mswaki usio sahihi, kutoosha ulimi, mabaki ya chakula.
Fizi dhaifu au kuvimba – hutengeneza harufu mbaya kutokana na bakteria
Matumbo au tumbo lenye sumu – gesi na bakteria kutoka tumboni huchangia harufu.
Kula vyakula vyenye harufu kali (kitunguu, vitunguu saumu, pombe, sigara).
Matatizo ya kiafya – kama vile kisukari, tonsils au maambukizi ya koo.
Sababu za Maumivu ya Meno
1. Meno kuoza kutokana na mabaki ya sukari na bakteria.
Fizi kutoa damu/kudhoofika – husababisha maumivu na jino kulegea.
Meno kuwa nyeti kwa sababu ya mifupa au tabaka la jino (enamel) kuchakaa.
Meno kutopangwa vizuri – chakula kukwama na kusababisha maumivu.
Kutokutunza meno – kutopiga mswaki mara mbili kwa siku au mswaki mbovu.
Kula vyakula vyenye sukari kupita kiasi – huchochea kuharibika kwa meno.
Maambukizi kwenye mzizi wa jino – husababisha maumivu makali usiku.
Najuwa unajiuliza mbona napiga mswaki kila siku tena mara mbili na dawa
ya mswaki za kampuni ninayoiamini sana lakini mbona harufu haishi au
mbona meno ya nauma hata kutoboka shida nini sasa?
Iko hivi kwenye kinywa chako kuna walizi wa mdomoni (bacteria wazuri) normal
frola
Narmal Flora wa kawaida wa kinywa ni viumbe wadogo wadogo wanaoishi mdomonikama bakteria na fangasi.
Wanaishi sehemu tofauti za mdomo kama kwenye meno,
ulimi na kwenye nyama laini za mdomo.
Viumbe hawa si wabaya, bali ni marafiki wa mwili Wanasaidia kulinda mdomo dhidi ya vijidudu vinavyosababisha magonjwa, kusaidia kazi za kawaida za mdomo, na kuweka afya ya mdomo iwe salama.
Mfano wa hawa viumbe ni Streptococcus, Lactobacillus, Actinomyces na fangasi
kama Candida.
Sasa hawa wanaishi katika mazingira ya ubesi yaani hawataki tindikali kali au
dawa kali
Kwakaida huwa wanazaliana nakukuwa katika mazingira rafiki
Kwa kawaida hakuna kipimo cha moja kwa moja cha kusema ni ngapi kwa ngapi kwa uwiano wa bakteria wazuri na wabaya mdomoni.
Lakini kisayansi inafahamika hivi:
Bakteria wazuri (commensal/beneficial bacteria) kwa mtu mwenye afya nzuri ya
kinywa, huchukua karibu asilimia 85–90 ya jamii ya viumbe mdomoni.
Bakteria wabaya (pathogenic bacteria) huwa wachache, karibu asilimia 10–15
pekee.
👉 Shida hutokea pale ambapo uwiano huu unabadilika (yaani bakteria wabaya
wanaongezeka na kuzidi 20% au zaidi). Hapo ndipo huanza matatizo kama harufu
mbaya ya mdomo, kuoza kwa meno, na magonjwa ya fizi.
Sababu kuu zinazoweza kupunguza idadi ya bakteria wazuri mdomoni ni:
1. Matumizi ya antibiotiki – dawa hizi hazizui tu bakteria wabaya bali pia huangamiza bakteria wazuri.
2 Lishe duni – vyakula vyenye sukari nyingi na vyenye mafuta huongeza ukuaji wa bakteria wabaya na kupunguza nafasi ya bakteria rafiki.
3. Kinywa kukauka (xerostomia) – ukosefu wa mate kutokana na upungufu wa maji mwilini,
4. matumizi ya dawa fulani, au magonjwa kama kisukari,
huzuia ukuaji wa bakteria wazuri.
5. Msongo wa mawazo (stress) – huathiri kinga ya mwili na kuruhusu uwiano wa bakteria kubadilika.
6. Uvutaji sigara na pombe – huua bakteria wazuri na kubadilisha mazingira ya.....
mdomo kuwa rafiki zaidi kwa bakteria wabaya.
7. Usafi hafifu wa mdomo – kutosafisha meno na ulimi vizuri huchochea kuongezeka kwa vijidudu wabaya.
Kwahiyo sasa hizo ndio sababu kwanini wewe mda wote mdomo unatoa harufumbaya na hauishi kumwa meno
Unatumia dawa kali za meno kwenye dawa za meno kuna strong atibaotiki
ambayo ni frolide kazi yake ni kuuwa bacteria wabaya lakini kulingana na ukali
wake huu wa hadi bacteria wazuri.
Hata hivyo dawa nyingi zenye frolide hazina uwezo wa kuondoa maumivu au
kuponya majeraha yanayo jitokeza mdomoni kitu ambacho husababisha vidonda
kuvamiwa na bacteria na kutoa harufu…
Kwa sasa watu wengi wanatumia antibiotiki kali mfano watu wenye changamoto
ya pressure na magonjwa mengine hivyo dawa hizo sambamba na kuuwa.....
bacteria wabaya huuwa wote kitu ambacho husababisha kuota kwa bacteria
wabaya na fungasi na kusababisha shida kama harufu mbaya,fizi kutoa damu,meno kuuma na kutoboka
Sasa turudi nyuma kidogo nilikwambia kuhusu mzee alieishi kwa miaka
mingi bila tatizo la meno alikuwa anatumia mchanganyiko wa alovera na
propolis ya nyuki……….
Sasa wanasayansi walipoenda kuchunguza maabara walikutana na vitu
vingi ambavyo nimekuelezea hapo juu miongoni mwake ni kemikali ya
enzyme ya brandynase husaidia kuweka mazingira rafiki kwa bacteria wazuri...
kukua na kuishi kitu ambacho dawa zingine hazina ndio maana unapiga
mswaki lakini harufu mbaya mdomoni haiishi na matatizo ya meno haishi
kila siku kung'oa mbona utakuwa kibogoyo..
Sasa tuangalie ni kwanamna gani huu mchanyiko unafanya kazi
Jinsi ambavyo mchanganyiko wa alovera na
propolis ya nyuki unavyofanya kazi
Sasa baada ya wanasayansi kuona alovera na propolis ya nyuki ina faida na
inaweza kusaidia sana watu katika afya meno na kinywa ndipo wakaamua
kutengeneza dawa ya meno ambayo inamchanganyiko wa asali na alovera…..
Sote tunajuwa maajabu ya mmea wa alovera na asali katika kutibu magonjwa
mbalimbali
Hivyo walitengeneza dawa hiyo ya meno ambayo ilitwa forever bright
toothgel….
Hii dawa ni ya kipekee sana kwanza imetengenezwa kwa kutumia mimea asilli
na imezibitishwa na mamlaka za afya nchi 160 na Tanzania
Kampuni hii iliotengeneza dawa hizi kutoka marekani inaitwa forever living
product na Tanzania ilifunguwa tawi lake hapa mwaka 2007 hadi sasa…
Kwa hiyo ukipata dawa hii umepata uponyaji na matatizo yote yakinywa yatakuwa
yameisha kwani..
Inaanza kuondoa shina la tatizo na kupona kabisa
Ukitumia dawa hii utapa faida hizi
Ina antibiotiki ya asili kutoka kwenye asali propolis ya nyuki hii ni product ambayo nyuki
huitumia kuzuia wadudu kuingia ndani ya mzinga ndio maana hata uache asali wazi
huwezi kukuta mdudu wala kuhalibika
kwahiyo itauwa bacteria wabaya na kubakiza bacteria wazuri ili kulinda kinywa pia Ina...........
1. punguza bakteria hatari – asali ina mali ya kuua bakteria (antibacterial) na
aloevera inauwezo wa kupunguza uvimbe, hivyo kupunguza ukuaji wa bakteria
wabaya mdomoni.
2. Kuhudumia fizi na gingiva – aloevera husaidia kupunguza uvimbe na kuponya
tishu zilizo na uchungu, hivyo kupunguza kuvimba kwa fizi.
3. Kuzuia kuoza kwa meno – mali ya antiseptiki ya asali husaidia kupunguza pluk na bakteria zinazosababisha kuoza.
4. Kuondoa harufu mbaya ya mdomo – kupunguza bakteria wabaya huimarisha harufu safi ya mdomo.
5. Asili na usalama – dawa hii ni rafiki wa mwili kwani haitumii kemikali nzito kama
dawa nyingine nyingi za meno.
Kwahiyo kwakutumia dawa hii nauhakika kuwa utapona meno ,fizi na hata tatizo la
kutoa harufu mbaya mdomoni na kuwa na furaha kurudisha hali ya kujiamini mbele za watu hata mbele za mpenzi wako au marafiki zako
Hii ndio dawa inayoitwa forever bright toothgele

forever bright toothgel ni dawa ya kipekee na tofauti na dawa za meno nyingine ambazo
umewahi kuzitumia kwasababu…..
Dawa hii kama nilivyo kwambia imethibitiswa na mamlaka za dawa na chakula dunianina TMDA hapa Tanzania…
Kwahiyo wasiwasi wako kuhusu kupata madhara yoyote baada ya kutumia dawa hii
tupilia mbali kabisa kwani dawa hii ni salama kwa afya ya mwili wako pia mtoto kuanziamiezi 6
anaweza kutumia na hata akimeza bahati mbaya inakuwa haina shida kwani
nisalama zaidi itaenda kutibu kama kuna shida tumboni…
Tofauti na dawa nyingine za meno ambazo zina frolide ambayo sio salama kwa afya
Fikilia hali kutoka kutoa harufu mbaya mdomoni. Maumivu ya meno na fizi kutoa
damu nikishindwa hata kucheka mbele ya mpenzi/mke wako ,marafiki zako hadi kujiami
kucheka bila kuona aibu kuwa pengine mdomo wako unatoa harufu au kushindwa
kulala usiku kisa maumivu ya jino hadi kulala bila wasiwasi na kuishi kwa furaha..
Sio hivyo tu fikilia kupiga mswaki bila kutokwa na damu kwenye fizi nakujikuta ukifurahia meno yako…
Fikilia utavyokuwa na meno meupe kama ya mtoto utavyoweza kufarahi na mpenzi
wako mkiwa chumbani bila kuwaza kama unamkela kwa harufu mbaya..
Hakika forever bright toothgel ni mkombozi uliekuwa ukumsubili siku zote ili kurudisha tabasamu lako…
Utakavyoanza kutumia dawa hii ya foreve bright toothgel siku hadi siku.... wiki hadi
wiki…
Utaanza kuona mabadiliko makubwa katika kinywa chako kama vile maumivu
kupungua siku hadi siku , harufu mbaya mdomoni kuisha, na hata fizi kutotoka damu pindi ukipiga mswaki…
Hali ya kutoa harufu mbaya mdomoni maumivu ya meno na fizi kutoa damu haitajitokeza tena
Kwa kuamini ninachokwambia..
Ngoja Nikupe story yangu kidogo…
Mimi mwaka 2010 nilikuwa na tatizo la nikipiga mswaki damu zilikuwa zinatoka
hata hivyo kutokana hali ya damu kutoka mdomo wangu ulikuwa unatoa harufu
mbaya sana sambamba na kupiga mswaki na dawa ya meno
Nilikuwa nahisi aibu kama wewe sikuwa na furaha hata kidogo kwani nilikuwa siwezi
kucheka karibu na watu kutokana na harufu mbaya mdomoni
Niliumia zaidi nilivyokuwa naambiwa kuwa mdomo wangu unatoa harufu mbaya
sana…
Ikafika hatua hata mpenzi wangu niliempenda sana alinikataa kwani tulivyokuwa
tukisogeleana nilikuwa natoa harufu mbaya sana…
Katika kutafuta suluhisho nilitumia dawa mbalimbali za asili kama chumvi lakini
harufu ilikuwa inatokea kwa mda na kurudi
Mwaka 2012 baada ya kuona mabadiliko hakuna ilibidi kwenda hospitali ili kupima
shida nini…
Niliambiwa ninashida ya kinywa nikapewa dawa nikaanza kuzitumia nilipata nafuu
lakini baada ya mda mambo yariludi vilevile nikachoka sana..
Baada ya kuona hali hiyo inazidi nilitembelea famasi kupata dawa mbalimbali ili
kunisaidia mfano mouth wash lakini nilikuwa napata afadhali kwa mda tu badae hali
inarudi
SASA UNAJUWA BAADA YA HAPO KILITOKEA NINI?
Baada ya kuishi katika shida hiyo kwa mda mrefu nianza kuumwa jino la
chini (gego) nilipata maumivu makali sana nilikuwa nalia kama mtoto mdogo
usiku silali kwa sababu ya maumivu makali nilikuwa nashindwa hata kula
napata maumivu makali hasa nikila vyakula vya moto,baridi au vigumu
nilikuwa napata maumivu makali ya kichwa sikio hata hivyo harufu mbaya
iliendelea kutoka mdomoni fizi zilivimba na damu zilikuwa zinatoka hasa
wakati nilipokuwa najaribu kupiga mswaki
Nilijikuta nikipoteza tabasamu nilikonda kutokana na maumivu makali
nilitengwa na marafiki zangu hata watu wangu wa karibu
najuwa
unanihurumia kutokana na hali niliokuwa na pitia
Mnamo saa 2:00 usiku tarehe 02th Feb 2019 siku ya jumamosi niliumwa sana
ilibidi nipelekwe hospitali lilipofikia hospital nilipewa dawa za kutuliza
maumivu nikambiwa dactari atakuja asubuhi akufanyie vipimo ili kama jino
limeisha legea atakutoa nililala kwa shida sana hadi asubuhi….
Dokta alikuja nikapimwa akasema jino limetoboka na limeoza inatakiwa
kuling'oa kwa maumivu nilikuwa nayo nilimwambia fanya tu unavyoweza dr
alinipa dawa akanipangia siku ya kwenda kung'olewa hilo jino akaniruhusu
kurudi nyumbani ili baada ya hizo siku mbili nirudi litakuwa limeregea kabisa
Ngoja nifupishe story ili unielewe vizuri kimsingi baada ya hizo siku mbili mimi
sikurudi kwenda kung'olewa jino
Je unataka kujua ni kwanini sikung'olewa Jino? Nadhani hapa ndipo
unapopataka sikiliza sasa ilikuwa hivi
Baada ya dakitari kunipa zile siku mbili za maandalizi niliporudi nyumbani
nilikuwa na mawazo sana nikifikilia kung'olewa jino niwe kibogoyo jamani vip
kama akilitoa vibaya nikafa itakuwaje niliwaza mbali sana
Jioni nikiwa na rafiki yangu alikuja kunitembelea anaitwa GASPER
akanikuta na hiyo hali aliniuliza nikamwelezea kila kitu hadi hiyo tarehe 5
nilivyokuwa nataka kwenda kutolewa jino
Aliniuliza umewahi kutumia dawa gani za meno nilitaja nyingi sana za
hospital na za asili pia..
Aliniuliza ulishawahi kusikia dawa ya meno inayoitwa forever bright toothgel
nilimwambia hapana hata hivyo hakuna dawa inayoweza kutibu jino dawa
yake ni kulitoa tu akasema
hivi unajuwa ukitoa walewadudu watahama kutoka
kwenye hilo jino bovu na kwanza kushambulia lingine ndani ya miaka 2
utakuwa na meno kweli utazeeka kabla ya umri wako kufika…..
Nakumbuka aliniambia kitu kimoja aliniambia mimi nirafiki yako nakuonea
huruma sana aliingiza mkono wake ndani ya begi lake akatoa kitu kama
muundo wa tyubu
akaniambia tumia hii leo usiku kabla ya kulala na kesho
asubuhi kama hutaona mabadiliko yoyote basi mimi nitakusindika hospital na
nitalipa gharama zote za kutolewa jino…
Jamaa alikuwa anajiamini sana
Kilichotokea baada ya kutumia hiyo dawa forever bright toothgel ni hiki
hapa..
Ukweli ni kwamba baada ya kutumia ile dawa usiku nilipata usingizi kidogo
baada ya maumivu kupungua nimeamka asubuhi ninaweza kuongea vizuri
hadi kufikia mchana niliona mabadiliko makubwa sana nikasema hii dawa ni
ya maajabu baada ya kutumia usiku asubuhi siku ambayo ilitakiwa niende
kutolewa jino rafiki yangu alikuja akaniambia nijiandae anipeleke hospital
nilisema kwa furaha mimi nimepona siendi kutoa jino alitabasamu maana
alijua dawa ile kwa ubora wake lazima inisaidie....
Baada ya kutumia siku tatu 3 tu maumivu yalisha uvimbe ulinywea na ndani......
ya siku saba 7 harufu mbaya mdomoni kupungua siku hadi siku hadi siku ya.......
11 harufu iliisha hadi hivi sasa nina meno yote meupe sitoi harufu mbaya
mdomoni tena meno yangu ni imara nikipiga mswaki damu hazitoki tena na
sasa nafurahi kupiga story na rafiki zangu bila shida dawa hii imekuwa ni
sehemu ya maisha yangu sasa forever bright toothgel ndio dawa nayotumia......
hadi sasa mimi nafamilia yangu
Na mimi nakushauri tumia forever bright toothgel kwa ajili ya afya ya kinywa.......
chako ufurahie maisha hata kama huna changamoto ya kinywa itumie
itakusaidia kulinda nakama unashida itakutibu na ninaimani utaipenda sana..........
na utatamani watu wako wa karibu na mhimu waitumie maana hutopenda
kuonawasumbuliwa na shida yoyote yameno haliyakuwa suluhisho
unalijuwa…
Matumizi ya forever bright toothgel
Dozi kamili ni siku 60
Ndani ya siku 60 mdomo wako utakuwa hanuki tena labda kwa zarula hasa ukila viungo
kama kitunguu Kuna vyakula ukila husababisha mdomo kutoa harufu mbaya ila ni ya mda mfupi tu
Baada ya hizo siku 60 hautahitaji tena mauth wash walanini wala dawa nyingine tena
kwajili ya kutibu tatizo hilo maana litakuwa limeisha kabisa
Hata hivyo mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya masaa 24-72 ya kwanza baada kutumia
forever bright toothgel kwani kunamwingine ndani ya masaa 12 matokeo anaanza
kuyaona kama mimi nilianza kuona mabadiliko baada ya masaa 12 mwingine 24 na
mwingine masaa 72 inategemeana na mwili wa mtu na mtu….
Matumizi ya forever bright toothgel nikama ifutavyo:..
Forever Bright toothgel matumizi yake unatumia kutwa mara tatu
yaani unapiga mswaki asubuhi baada ya kuamka unarudia baada ya
chakula cha mchana na baada ya chakula cha usiku….
Lakini pia unaweza kutumia mara mbili kwa siku asubuhi na jioni
kabla ya kulala unaswaki unalala kinywa kikiwa safi unaenjoy na
mke/ Mpenzi wako au hatawewe mwenyewe
Mimi huwa natumia hii ya kutwa mara mbili 1×2 maana mda mwingi
unakuta niko busy nakazi mchana…
Utatumia kulingana na ukubwa wa tatizo lako kama nikubwa au
lakawaida tumia moja kutwa mara 3 (1×3)
Ila kwa ajili ya kulinda afya ya kinywa chako unaweza kutua mara 3
au mbili haina shida kabisa ni salama kwako mtumiaji..
Inagharimu kiasi gani dawa hii ya forever bright toothgel
Ukilinganisha bei ya forever bright toothge dawa zingine za kutibu na kuondoa
harufu mbaya mdomoni ambazo kimsingi hata hazimalizi tatizo likaisha kabisa
binafsi utapendezwa na bei ya forever bright toothgel iwe juu.
Naukilinganisha wateja wengi walioitumia dawa hii wameweza kuondokana na
tatizo la harufu mbaya mdomoni ,maumivu makali ya meno na kuvimba fizi na
kutoa damu ndani ya mda mfupi na asipo kuendelea kutumia garama kubwa ya...
kutoa meno na kutumia garama kubwa kununua mouth wash na dawa
zakuondoa harufu mbaya ambazo hutoa suluhisho la mda tu ambazo hata
hazitoi tatizo wengi wao wanasema hata garama ya forever bright toothgel
ingekuwa Tsh 250,000/= wangenunua
Fikiria….
Ni kiasi gani ungekuwa tayari kutoa kupata tiba ambayo kwa asilimia 100%
unajua lazima ifanye kazi?
180,000/=?, 150,000/=? au 130,000/=?
Lakini unajua nini? Hutalipia pesa hiyo.
Shirika hili la Marekani linalotengeneza forever bright toothgel wameamua kuweka
bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu na kwa wakati huo huo pesa hiyo iweze
kusaidia kuendesha uzalishaji wa dawa zingine kulingana na uhitaji wa dawa hii kuwa mkubwa.
Kwahiyo leo kwenye ukurasa huu unaweza kuipata dawa
hii kwasababu haipo hospitalini na wala kwenye maduka ya dawa.
Kwenye ukurasa
huu ndio sehemu pekee ya kuipata forever bright toothgel dozi kamili ya siku 60 kwa bei ya…
112,000/= tu
Kuna sababu kwanini bidhaa hii inauzwa kwa bei ndogo sana hivyo.
Ni rahisi kuelewa sababu hiyo.
Lengo la shirika hili la Marekani linalotengeneza dawa hii ni kuwasaidia wahanga wa
matatizo ya meno na harufu mbaya mdomoni duniani kuacha kuendelea kupoteza
pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.
Endapo gharama ya dawa hii ingekuwa juu maana yake wahanga wengi
wangeshindwa kumudu bei.
Hivyo basi ndio maana wakaamua kutoa punguzo la bei kubwa ili wahanga wengi
wapate suluhisho sahihi la kumaliza kiini cha tatizo na kufurahia maisha na
wapendwa wao
La mhimu
nakushauri kuchukuwa dawa yako mapema kwasababu bidhaa zilizopo ni chache na
uhitaji wa forever bright toothgel ni mkubwa sana....kuna uwezekano mkubwa dozi
tulizobaki nazo hapa kwenye store yetu zikaisha ndani ya wiki 2 zijazo.
Kwahiyo weka oda yako mapema
Bidhaa zikiisha huwa zinachukuwa mdawa wa miezi mitatu 3 hadi sita mpaka 6 dawa
zingine kutoka marekani kuja Tanzania
Maana kampuni hii inatumia usafiri meli maana inachukuwa mizigo ya sehemu mbali
mbali na tuajuwa meli inavyotembea nitofauti na ndege
Na mda mwingine huchelewa kwa sababu ya hali ya hewa mvurugiko katika habari
Hivyo kutokana na uhitaji mkubwa wa dawa hizi imefikia hatua kampuni unaelewa
na oda kutoka mataifa makubwa tofauti tofauti ulimwenguni hivyo inaweza
kuchukuwa mda kuleta mzigo Tanzania
Kwahiyo unaweza ukaona ni mchakato ambao unachukua siku nyingi kiasi kwamba
miezi hiyo ikipita hujatumia dawa tatizo litakuwa lishakua sugu na kukusababishia
Lichukue muda mrefu kuweza kupona.
Hivyo ni vyema ukachukua dozi yako sasa hivi.
Na kama utaondoka kwenye ukurasa huu pasipo kuweka ODA yako kuna uwezekano
mkubwa pindi utakaporudi, ukakuta bidhaa zimeisha.
Hivyo basi usitoke kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako kwasababu uhitaji wa
dawa hii ni mkubwa sana... kwahiyo bidhaa tulizonazo store zitaisha muda wowote.
Kama unahofu kuhusu dawa hii kutofanya kazi naelewa kabisa hata mimi nilikuwa na
hofu lakini nilivyo itumia nilishaanga kwa matokeo niliopata na hadi sasa nautumia
kama dawa yangu ya meno au mswaki kwa hiyo sasa mimi ninakupa dawa hii kwa
guarantee maana najuwa una wasiwasi wa kupoteza pesa yako
Kwahiyo bidhaa hii nakupa kwa dhamana guarantee
Dhama hii iko hivi:
Tumia forever bright toothgel kwa muda wa siku 60. Kama baada ya siku 60 bado
mdomo wako utakua unatoa harufu mbaya au bado utakuwa unapata maumivu
makali ya meno au fizi kutoa damu au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda
forever bright toothgel piga simu kwenda namba 0712132166 toa taarifa
utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.
Hata hivyo nina imani utaipenda forever bright toothgel na utalidhika kwa maajabu
ambayo itakufanyia.
Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na uwezo wa dawa hii ndani ya..
masaa 72 maumivu ya meno yatakuwa yameisha kabisa na uvimbe utakuwa umepotea.
kabisa utakuwa na uwezo wa kutabasamu mbele za watu bila hofu ya mdomo kutoa....
harufu mbaya
Ukweli ni kwamba kwa kuitumia forever bright toothgel pesa ambazo ungeendelea....
kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI
Chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA yako. ODA zinazopokelewa ni
za watu ambao wana uhitaji wa kupokea bidhaa zao haraka kabla dawa haijaisha.
Kwahiyo usiweke ODA kama unajua hutachukua haraka iwezekanavyo.
Dozi ni 112,000/=
Malipo yote yafanyike kwa njia ya Mixby yas [tigo pesa] au
CRDB BANK
Namba ya mix by yas ni 0712132166 na jina ni Hamis Ernest
Namba ya akaunt CRDB BANK ni
0152731232900
jina ni Hamis Nchagwa
Ernest
Kwa mteja wa mkoani (Nje ya Dar) unalipa kwanza pesa yote ya dozi utakayokuwa
umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu baada ya kulipia
gharama ya kusafirisha mzigo mpaka ukufikie popote ulipo ndani ya Tanzania ni juu
yangu.
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo
kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...
Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya
dozi halafu gharama za usafiri ni juu yangu nakuagizia mzigo wako mkoani ulipo kwa
njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)
Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU.
Baada ya
kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo
kikamilifu na kisha itume.
Mara baada ya kupokea fomu yako msaidizi wangu au
mimi mwenyewe nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa
kikamilifu.
Bonyeza sehemu hii sasa hivi
This site is not part of the Facebook TM website or FacebookTM inc.additionally this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM,inc